Matokeo yaliyotangazwa leo yanaonyesha kuwa kwa ujumla asilimia 87.79% ya watahiniwa waliofanya mtihani huo wamefaulu ambapo ni sawa na ongezeko la ufaulu la asilimia 0.49% ukilinganisha na asilimia ...
(Dar es Salaam, 14, Februari 2017) – Zaidi ya asilimia 40 ya vijana wa Tanzania hawapati elimu bora ya awamu ya kwanza ya sekondari (kidato cha kwanza hadi cha nne), mbali na uamuzi chanya wa serikali ...
Shirika lisilo la kiserikali la haki elimu nchini Tanzania limesema kuwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne sio ya kujivunia kutokana na zaidi ya nusu ya watahiniwa kupata ufaulu wa daraja la nne na ...
Ni muhitimu wa kidato cha nne aliyeongoza kwa kushika nafasi ya kwanza kitaifa akielezea baadhi ya mbinu alizozitumia kuhakikisha anapata ufaulu wa juu na kuibuka kidedea katika mitihani ya kumaliza ...