Kwa wengi njiwa ni kitoweo na hufugwa kwa mapenzi si biashara. Lakini Deogratius Temba, kijana kutoka Dodoma, Tanzania amebadilisha dhana hiyo. Anafuga njiwa wa kipee. Hawa ni njiwa wanaojulikana kama ...
Muigizaji wa China ameonya kuhusu hatari ya kufanya upasuaji wa mapambo kwa kusambaza picha za pua yake baada ya upasuaji kwenda mrama. Gao Liu ni mwimbaji na muigizaji ambaye ameigiza katika filamu ...
Umewahi kujiuliza kwa nini bangili za shanga zenye rangi za bendera za mataifa mbalimbali zinapendwa na watu wengi ndani na nje ya Afrika Mashariki? Ni mapambo ya kawaida, au kuna ujumbe unaobebwa ...
Msanii Mbali Mthethwa amefufua Sanaa ya utengenezaji mapambo kwa kutumia shanga. Anatumia ujuzi wa kitamaduni lakini unaofifia wa kutunga shanga kama msingi wa kutengeneza mapambo makubwa ya ukutani ...