Bola Ahmed Tinubu ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais nchini Nigeria uliokuwa na ushindani mkali lakini wengi, vikiwemo vyama vya upinzani, wamedai kuwa kura hiyo ilivurugwa na udanganyifu.
Wiki moja baada ya uchaguzi wa urais nchini Uganda, ambao rais aliye madarakani Yoweri Museveni alishinda kwa kishindo, ...
Mgombea wa Urais wa chama tawala nchini Nigeria, Bola Tinubu anaongoza kwa kura katika majimbo 20 kati ya 36 nchini Nigeria. Matokeo hayo ya awali ni kwa mujibu wa matokeo ya awali yaliokusanywa na ...
Bw Kinyua alisema kuwa jukumu la kamati hiyo litaanza mara tu baada ya mshindi wa urais kutangazwa. Chanzo cha picha, MONUSCO Kundi la Islamic State (IS) limedai kuhusika na shambulio la Jumanne ...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetoa matokeo machache ya mapema ya uchaguzi mkuu uliorefushwa na kusababisha baadhi ya wagombea wa upinzani kulalamikia udanganyifu na kudai urudiwe. Unaonyesha ...
Raia wa Msumbiji hivi leo wanatarajiwa kufahamu hatma ya matokeo ya uchaguzi wa mwezi Octoba uliogubikwa na utata, kufuatia madai ya wizi wa kura na udanganyifu, matokeo yaliyosababisha maandamano ya ...