Matokeo yaliyotangazwa leo yanaonyesha kuwa kwa ujumla asilimia 87.79% ya watahiniwa waliofanya mtihani huo wamefaulu ambapo ni sawa na ongezeko la ufaulu la asilimia 0.49% ukilinganisha na asilimia ...
Kwa mara nyingine, Waziri wa Elimu, Dkt. Fred Matiang'i, ametangaza matokeo ya mtihani wa kitaifa mapema mno tofauti na miaka ya awali, tena kwa kushtukizia - bila ufahamu wa wengi kuwa yangetangazwa ...
Shirika lisilo la kiserikali la haki elimu nchini Tanzania limesema kuwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne sio ya kujivunia kutokana na zaidi ya nusu ya watahiniwa kupata ufaulu wa daraja la nne na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results