Baada ya kupotea kwa miaka mingi, Simba ilirudi tena kwa kishindo msimu wa 2018/19 na kuangukia kundi D sambamba na Al Ahly ...
Tanzania inaweza kusimama kwa muda Jumamosi kupisha pambano la watani wa jadi Simba na Yanga ambalo limepangwa kupigwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuanzia saa 10: 00 za jioni. Mabingwa watetezi ...
Matokeo hayo yanaifanya Yanga kufikisha pointi 43 na kijiweka katika mazingira mazuri ya kutwaa ubingwa msimu huu huku pia ikiwa inafanya vizuri kw... TIMU ya YANGA leo imeweweka rekodi mpya kwenye ...
Katika mchezo huo timu ya Augsburg inayoshiriki ligi ya kandanda ya Ujerumani, Bundesligaimeinyuka Yanga magoli 2-1. Augsburg ilikuwa ya kwanza kuliona lango la Yanga katika dakika 36 ya mchezo ...
Mabingwa watetezi Yanga wameendelea kung'ang'ania kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 3-0 kwa Nunge dhidi ya wenyeji, Singida Fountain Gate. "Wana nafasi kubwa ya kutetea ...
Klabu mbili kongwe za soka Simba na Yanga kutoka Afrika Mashariki nchini Tanzania, Ijumaa hii April 5 zinakabiliwa na kibarua kizito cha kuwania kutinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya mabingwa ...
Licha ya Yanga kutoka sare tasa nyumbani dhidi ya Rivers United ya Nigeria, imefuzu kwa nusu fainali kutokana na ushindi wa 2-0 kwa jumla. Katika mechi ya jana Jumapili, Yanga iliitaji sare ya aina ...
BAADA ya kipindi kirefu cha sintofahamu na maswali mengi kutoka kwa mashabiki wa Yanga, hatimaye jina la Clement Mzize ...