KUTORUHUSU bao lolote dhidi ya TRA United katika mechi nne za Ligi Kuu Bara walizokutana, zinaipa Simba matumaini ya ...
LEO Jumatano, macho na masikio ya mashabiki wa soka hapa nchini yataelekezwa Mtipa mkoani Singida ambako kutakuwa na moja ya mechi ya kusisimua ya Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji, Singida Black Stars dh ...
Simba imeondoka na pointi tatu muhimu baada ya kuifunga Singida Black Stars katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara ...
Simba SC ya Tanzania itavaana na timu pendwa ya Kombe la Shirikisho la CAF, Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, baada ya timu zote mbili ...
Miamba wa soka na watani wa jadi katika ligi kuu ya soka Tanzania bara, Yanga na Simba, walitoka sare ya 0-0 katika mechi ya ligi kuu iliyochezwa mwishoni wa wiki iliyopita, Machi tarehe 1, ...
'Tumeshinda lakini sijafurahia', mmoja wa mashabiki wa Simba SC ya Tanzania, baada ya kipyenga cha mwisho cha mchezo wao dhidi ya Stellenbosch FC katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la ...
Mashabiki wa Simba wameanza kujinasibu kuwa safari hii ni ya kufuta uteja, wakikumbushia maumivu ya kupoteza michezo sita mfululizo dhidi ya watani wao wa jadi na mashabiki wa Yanga nao wanaonekana ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...
Pazia la Ligi kuu soka Tanzania Bara linafunguliwa wiki hii huku Jumanne septemba 16 Wadau wa soka wanasubiri kwa hamu pambano la kukata na shoka litakalowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results