Nchi 56 za jumuiya ya madola zimekubaliana kwamba wakati umefika wa mazungumzo juu ya biashara dhalimu ya utumwa. Hilo ni tamko muhimu la mkutano wa kilele ambalo limeibua matarajio juu ya fidia, ...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amethibitisha tena Jumapili hii, Oktoba 6, wakati wa mazungumzo ya simu na Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu, "dhamira isiyotetereka" ya Ufaransa kwa usalama ...
Siku ya tarehe 20 Novemba 1979. Ilikuwa ni tarehe ya kwanza ya Muharram. Msikiti mkubwa zaidi wa Makka ulijaa mahujaji wa Pakistani, Indonesia, Morocco na Yemen pamoja na wenyeji. Katika umati huu wa ...
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema anaamini wakati umefika wa kuishirikisha Urusi kwenye mazungumzo ya kutafuta amani katika vita vyake na Ukraine. Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz akizungumza ...