HOSPITALI ya Taifa Muhimbili–Mloganzila imeandaa kambi maalum ya kutengeneza na kurekebisha mishipa ya kuchuja damu kwa wagonjwa wenye changamoto za figo ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha upati ...
BARAZA la Wafanyakazi la Sita la Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) limejadili ajenda tatu kuu zenye lengo la kuboresha ...
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua Soko la Kariakoo Februari 8, 2026, ...
KAGERA: Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imetembelea kiwanda cha kuzalisha vifungashio ...
JUMLA ya kaya 11,276 zenye wananchi wapatao 69,651 wasiomudu gharama za matibabu mkoani Geita wanatarajia kunufaika na mpango ...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa elimu ya mazingira kwenye Kongamano la Mwaka la Anwani za ...
DODOMA; SERIKALI imesema imefuatilia kwa makini mijadala ya wabunge na kuwa hoja zao zimeonesha wazi kuunga mkono juhudi ...
WAZIRI wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omar ameitaka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini (Gaming Board of Tanzania) kuhakikisha inasimamia vema sekta hiyo ili kudhibiti madhara katika jamii hususan kwa ...
KIGOMA: Halmashauri za Mkoa Kigoma zimetakiwa kufanya ukaguzi kwa wafanyabiashara wanaojishughulisha na biashara za chakula na vipodozi ili kuhakikisha wanafuata sheria na taratibu. Ofisa Biashara wa ...
MKUU wa Mkoa wa Arusha CPA Amos Makalla ameipongeza Menejimenti na wafanyakazi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) kwa mchango wake katika kukuza Utalii wa Mikutano na kuwezesha mkutano ...
DODOMA; WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba, ameipongeza timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kufikia ...