Vifaa vya elimu, afya ya uzazi na michezo vya Sh. milioni 700 kutoka Shirika la Maendeleo la Ubelgiji (Enabel) vimetolewa ...
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Malunga,Kata ya Malunga katika Manispaa ya Kahama, wameungana na Rais Samia Suluhu Hassan ...
Msemaji wa polisi wa eneo hilo, Lydia Tumushabe, amepinga kauli hizo akisisitiza kuwa polisi walilazimika kutumia nguvu kwa kujilinda baada ya kile alichokitaja kama shambulio la “kundi la wahuni wa ...
Kipa Yassine Bounou aliiongoza nchi yake kuendeleza ndoto yake ya kutwaa taji la pili katika historia yake na la kwanza katika kipindi cha miaka 50 alipong'ara kwenye mikwaju ya penalti kwa kuokoa ...
NHK imebaini kwamba Marekani, chini ya awamu ya pili ya Rais Donald Trump, imepiga kura ya kupinga takriban asilimia 90 ya maazimio yaliyopitishwa kwa kura na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa katika ...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema mashambulizi ya pili dhidi ya Venezuela yamesitishwa. Amesema amechukua hatua hiyo baada ya wafungwa wa kisiasa kuanza kuachiwa huru katika taifa hilo la Amerika ...
Takribani watu kumi wameuawa katika vurugu za baada ya uchaguzi katikati mwa Uganda, wakati matokeo ya awali yakimpa Rais Yoweri Museveni zaidi ya asilimia 75 ya kura na upinzani ukipinga uhalali wa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results