SERIKALI ya Awamu ya Sita imewekeza zaidi ya shilingi bilioni 350 katika kilimo cha umwagiliaji ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, kuongeza uzalishaji na kuimarisha uchumi wa taifa.
BARAZA la Wafanyakazi la Sita la Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) limejadili ajenda tatu kuu zenye lengo la kuboresha ...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua Soko la Kariakoo Februari 8, 2026, ...
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ...
KAGERA: Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imetembelea kiwanda cha kuzalisha vifungashio ...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa elimu ya mazingira kwenye Kongamano la Mwaka la Anwani za ...
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili–Mloganzila imeandaa kambi maalum ya kutengeneza na kurekebisha mishipa ya kuchuja damu kwa wagonjwa wenye changamoto za figo ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha upati ...
WAZIRI wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omar ameitaka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini (Gaming Board of Tanzania) kuhakikisha inasimamia vema sekta hiyo ili kudhibiti madhara katika jamii hususan kwa ...
KIGOMA: Halmashauri za Mkoa Kigoma zimetakiwa kufanya ukaguzi kwa wafanyabiashara wanaojishughulisha na biashara za chakula na vipodozi ili kuhakikisha wanafuata sheria na taratibu. Ofisa Biashara wa ...
JUMLA ya kaya 11,276 zenye wananchi wapatao 69,651 wasiomudu gharama za matibabu mkoani Geita wanatarajia kunufaika na mpango ...
DODOMA; WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba, ameipongeza timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kufikia ...
KATIKA Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, mazingira yamepewa kipaumbele kama nguzo muhimu ya maendeleo endelevu ya Tanzania.