BAADA ya Coastal Union kuchapwa mabao 3-0 dhidi ya Pamba Jiji katika mechi ya Ligi Kuu iliyopigwa Februari 6, 2026 kwenye ...
NYOTA mpya wa Simba SC, Anicet Oura, amefanikiwa kufunga bao lake la kwanza akiwa na kikosi cha timu hiyo baada ya kujiunga nacho dirisha dogo la usajili msimu huu akitokea IF Gnistan ya Finland.
Watu katika Jiji la Aomori, kaskazini mwa Japani, wanakabiliana na viwango vya theluji ambavyo havijaonekana kwa kipindi cha miongo kadhaa. Serikali ya mkoa wa Aomori inachangia kusaidia kwa kupeleka ...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amesema utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme kwenye vitongoji ni chachu muhimu ya ...
Benki ya Hifadhi ya Australia imehitimisha mapumziko ya miaka miwili kwa kuongeza viwango vya riba hadi asilimia 15, jambo ...
TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group, kwa kipindi cha mwaka mmoja, imeanzisha huduma tatu mpya za matibabu ya moyo na mishipa ili kuongeza wigo wa utoaji huduma kwa wananchi ...
Kampuni ya magari ya Mitsubishi Motors ilipata hasara halisi ya yeni bilioni 4.4, au takriban dola milioni 28 kwa kipindi cha ...
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki ...
DODOMA; SERIKALI imesema kipindi cha kuanzia Julai, 2024 hadi Januari 2026, jumla ya vikundi 24,064 vimepatiwa mafunzo ya ...
Hali ya kibinadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imefikia viwango vikubwa. Kulingana na ripoti ya hivi ...
Katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025, jumla ya miradi 10 ya hifadhi ya mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa Tanzania Bara na Zanzibar, yenye thamani ya takribani Sh. bilioni 97.6 ...
Idara ya Utabiri wa Hali ya Anga imewaonya Wakenya kujiandaa kwa kipindi cha jua kali na ukame chenye joto ya juu ya wastani ...