Kwa miongo kadhaa taarifa kwenye vyombo vya habari, zinazohusu baadhi ya wanafuzni kutumia lugha ya matusi kwenye karatasi za kujibia mitihani kitaifa, zimekuwa zikijirudia. Baraza la Mitihani la ...
Chama cha Hisabati Tanzania (MAT/CHAHITA) kimetangaza matokeo ya Mtihani wa Mashindano ya Kitaifa ya Hisabati (TAMO) mwaka huu, yakionesha wavulana kuongoza kwa kupata alama za juu ukilinganisha na ...
DAR ES SALAAM :BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne, ambapo ufaulu kwa darasa la nne umeongezeka asilimia 2.67 na ufaulu kidato cha pili ...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne na kidato cha pili. Matokeo yametangazwa leo Januari 10, 2026 na Katibu Mtendaji wa ...
Tanzania na Uganda wamelazimika kugawana alama baada ya kutoka sare ya 1–1 katika dabi ya Afrika Mashariki ya kwenye michuano ya AFCON 2025, matokeo ambayo yanaacha hatima ya timu zote mbili ...
KATIKA jiji la Mwanza, nyumba ya familia ya Tegete inabeba simulizi la vizazi viwili vilivyochagua soka kama maisha yao. Hapa ndipo nilipopata nafasi ya kuzungumza na nyota wa zamani wa Yanga na timu ...
“NILIKUBALIANA na Yanga kila kitu; gharama ya usajili, mshahara wangu kwa mwezi na kupata nakala ya mkataba kwa njia ya simu ili niusome kwa lengo la kuusaini mara baada ya kuonana kukamilisha dili ...
MITIHANI ya taifa ya kidato cha nne imeanza leo nchini ikiwa ni kilele cha safari ya miaka minne ya masomo kwa maelfu ya wanafunzi wa shule zote za sekondari za serikali na binafsi. Wakati wanafunzi ...
Dar es Salaam. Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne. Idadi ya watahiniwa ...
Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Tanzania yamelaani ripoti za mauaji ya kulipiza kisasi yaliofanywa dhidi ya raia, baadhi wakiwa katika makazi yao wakati wa machafuko ya baada ya uchaguzi.
Ingawa Tume hiyo inasema kuwa bado haifahamu ukubwa wa tatizo, lakini inaisitiza kwamba matokeo ya uchunguzi huo yanaweza kukamilika chini ya miezi miwili. Na Mariam Mjahid & Asha Juma Chanzo cha ...