Kwa miongo kadhaa taarifa kwenye vyombo vya habari, zinazohusu baadhi ya wanafuzni kutumia lugha ya matusi kwenye karatasi za kujibia mitihani kitaifa, zimekuwa zikijirudia. Baraza la Mitihani la ...
Msemaji wa polisi wa eneo hilo, Lydia Tumushabe, amepinga kauli hizo akisisitiza kuwa polisi walilazimika kutumia nguvu kwa kujilinda baada ya kile alichokitaja kama shambulio la “kundi la wahuni wa ...
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kueleza wanafunzi waliofeli mitihani yao ya kidato cha pili badala ya kurudia darasa, watafanyiwa programu maalumu huku ...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili uliofanyika Oktoba na Novemba, 2025, ambapo wanafunzi 173,015 hawajafanya upimaji ...
DAR ES SALAAM :BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne, ambapo ufaulu kwa darasa la nne umeongezeka asilimia 2.67 na ufaulu kidato cha pili ...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne na kidato cha pili. Matokeo yametangazwa leo Januari 10, 2026 na Katibu Mtendaji wa ...
DAR ES SALAAM : BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) limefuta matokeo ya wanafunzi 19, wakidaiwa waliandika matusi kwenye karatasi zao za majibu ya upimaji wa kitaifa, ambapo 11 ni kidato cha pili na ...
Ushindi wa Doumbouya mwenye umri wa miaka 41, unatarajiwa kuhalalisha uongozi wake, na kutuma ujumbe kwa jumuiya ya Kimataifa kuwa, amefanikiwa kurejesha nchi hiyo kwenye utawala wa kidemokrasia.
Tume Huru ya Uchaguzi nchini Côte d'Ivoire imechapisha matokeo makuu ya uchaguzi wa wabunge uliofanyika Desemba 27. Uchaguzi huo ulioshuhudia uwepo mkubwa wa wagombea huru, mashindano kati ya chama ...
RABAT, MOROCCO: MECHI za ufunguzi kwenye AFCON mara zote zinakuwa tamu kwa wenyeji. Je, Morocco itaendeleza utamaduni? Katika mechi zote isipokuwa moja tu za ufunguzi za mashindano 34 yaliyopita ...