Kwa miongo kadhaa taarifa kwenye vyombo vya habari, zinazohusu baadhi ya wanafuzni kutumia lugha ya matusi kwenye karatasi za kujibia mitihani kitaifa, zimekuwa zikijirudia. Baraza la Mitihani la ...
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kueleza wanafunzi waliofeli mitihani yao ya kidato cha pili badala ya kurudia darasa, watafanyiwa programu maalumu huku ...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne na kidato cha pili. Matokeo yametangazwa leo Januari 10, 2026 na Katibu Mtendaji wa ...
DAR ES SALAAM :BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne, ambapo ufaulu kwa darasa la nne umeongezeka asilimia 2.67 na ufaulu kidato cha pili ...
DAR ES SALAAM : BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) limefuta matokeo ya wanafunzi 19, wakidaiwa waliandika matusi kwenye karatasi zao za majibu ya upimaji wa kitaifa, ambapo 11 ni kidato cha pili na ...
Ushindi wa Doumbouya mwenye umri wa miaka 41, unatarajiwa kuhalalisha uongozi wake, na kutuma ujumbe kwa jumuiya ya Kimataifa kuwa, amefanikiwa kurejesha nchi hiyo kwenye utawala wa kidemokrasia.
Tume Huru ya Uchaguzi nchini Côte d'Ivoire imechapisha matokeo makuu ya uchaguzi wa wabunge uliofanyika Desemba 27. Uchaguzi huo ulioshuhudia uwepo mkubwa wa wagombea huru, mashindano kati ya chama ...
Rais Donald Trump wa Marekani anatarajiwa hii leo kukutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwenye makazi yake binafsi ya Mar- a-Lago, Florida kujadiliana awamu inayofuata ya mpango wa ...
Tanzania na Uganda wamelazimika kugawana alama baada ya kutoka sare ya 1–1 katika dabi ya Afrika Mashariki ya kwenye michuano ya AFCON 2025, matokeo ambayo yanaacha hatima ya timu zote mbili ...
Mechi za mzunguko wa kwanza katika kila kundi kwenye michuano ya AFCON 2025 inayoendelea nchini Morocco zimekamilika. Mabingwa watetezi wa kombe hilo Ivory Coast wameibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results